WANAUME TUSIHADAIKE NA MATOLEO YA WANAWAKE WA SASA💯 - EDUSPORTSTZ

Latest

WANAUME TUSIHADAIKE NA MATOLEO YA WANAWAKE WA SASA💯


Vile DUNIA 🌏 imegeuka ndivyo hata UTUNGAJI WA MIMBA ZA SASA SIO WA MPANGILIO hata kusababisha wanawake kuwa warembo na wenye mi-shape yaani kwa ujumla WANAWAKE WA SASA WANAVUTIA ZAIDI isipokuwa hawana uwezo wa kukabiliana na TAMAA ZA DUNIA 🌏 YENYEWE 😂😂
Mwanaume fahamu jambo moja;
• MWANAMKE ANATAZAMWA KWA WEMA WAKE WALA SIO KWA SURA YA KITOTO "babyface" AU SIO KWA SHAPE ALOJAALIWA⛔️
Kwa sasa Mwanaume akiendana na MATOLEO YA WANAWAKE niamini hata kiwanja hutaweza kununua😂
Wanawake wa sasa wana matoleo ya kila aina uitakayo kama MAGARI YA KI JAPAN 😂😂
Zamani hata THAMANI YA MAMA ZETU ILIFAHAMIKA kwa sababu Baba zetu walimchukuwa Mwanamke kwa wema wake na kweli Mwanamke wa zamani alikuwa MWEMA maana tabia ya Mwanaume wa zamani na wa sasa tofauti yao ni moja tu;
• MWANAUME WA ZAMANI ALIWEZA KUWATUNZA WA NYUMBANI KWAKE.
Wanaume hamtunzi familia zenu kwa kuangalia vipato vya wanawake zenu WHY😂😂😂😂
Muda Mwingine Mwanaume ndo unampa akili Mwanamke akuchune ama awe nawe huku akiwa na BUZI usipochangamka wallah UTABAKIA KUWA DUME LA MBEGU huku Mkeo akizama kwenye kuwa MATUMIZI YA WANAUME WENYE PESA💯
Kwa sasa ili walau Mwanaume ajisikie PROUD kwamba ana Mke eti anatafuta Mwanamke mwenye kipato kisa tu WANAUME HAMNA TENA MOYO WA KUJITOA KWA WAKE ZENU 😂😂
Mwanaume mtazame Mwanamke kama FAHARI YA MACHO YAKO na ujitwalie Mwanamke mmoja umpe heshima awe Mke wako na uwajibike kwa majukumu yako yote juu ya familia 👪 yako na hapo ndipo utaamini hitimisho langu kwamba;
• HITAJI KUU LA MWANAUME KWA MWANAMKE NI PUMZIKO LA MOYO HAYA MAMBO YA KUBADILI WANAWAKE NI UKOSEFU WA HESHIMA YAKO MWENYEWE MAANA HATA MWANAMKE MMOJA AWEZA KIDHI HAJA ZA MWILI WAKO💯
#Elista_kasema_ila_sio_sheria🔨
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz