USIJISHUSHE THAMANI, ACHANA NA HUYO MWENYE TABIA ZA AJABU - EDUSPORTSTZ

Latest

USIJISHUSHE THAMANI, ACHANA NA HUYO MWENYE TABIA ZA AJABU

Kuna wakati yakubidi uwe na hofu ya kuendelea hatua nyingine kwenye hayo mahusiano uliyopo. Sio kwa ubaya ila ni kutokana na tabia ambazo mwenza wako anazoonyesha.
Inafika wakati kila ukijaribu kuitathmini tabia ya mwenza wako unaona kabisa hana nia nzuri nawe na anaweza kuja kukusababishia majuto baadae.
Mpendwa! Ukikosea leo usidhani ni rahisi kesho mambo kubadilika. Ukifumbia macho maovu ya leo basi huko mbele yawezekana ndo ikaja kuwa shida kubwa kupita kiasi.
WEWE NI DHAHABU JITHAMINI
Chris JR




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz