UPENDO ❤️ WA MWANAMKE HAUPO KWENYE KUVUA NGUO πŸ‘™ FARAGHA. - EDUSPORTSTZ

Latest

UPENDO ❤️ WA MWANAMKE HAUPO KWENYE KUVUA NGUO πŸ‘™ FARAGHA.


Image may contain: 4 people, people standing

Kwanza naomba ifahamike kwamba UVUAJI WA NGUO πŸ‘™ KWA MWANAMKE AWAPO FARAGHA ni tendo linalotokanaa na STAREHE wala sio ISHARA YA UPENDO πŸ’ž kwa sababu Wanaume wengi hudhania Mwanamke anapokubari kwenda chumbani πŸ›️ na kusaula nguo zote na kubakia mtupu eti ni UPENDO πŸ’˜
Sema hiyo ni ishara ya KUAMINIKA MOYONI MWAKE ama kwa sababu ya vile unaonyesha UPENDO πŸ’˜ KWAKE au ni kwa sababu ya njia iendayo kwenye KUKUPA MOYO WAKE...
Kwa sababu hakuna TESO Mwanamke hupitia pindi anapokuwa AMEAMINI katika UPENDO πŸ’˜ na kumbe Mwanaume alikuja kwa MATAMANIO πŸ˜­πŸ˜­
Muda Mwingine Mwanamke nae huwazia STAREHE hivyo anapokuwa amekubari kuvua nguo πŸ‘™ asisomeke kwenye UPENDO πŸ’˜ nae MATE hujikusanya akiwazia vile NYAMA NA NYAMA hutengeza joto πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria πŸ”¨




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz