Unaambiwa mahari milioni moja unalalamika kama umetajiwa bilioni - EDUSPORTSTZ

Latest

Unaambiwa mahari milioni moja unalalamika kama umetajiwa bilioni

🏃🏾‍♂🏃🏾‍♂🏃🏾‍♂🏃🏾‍♂🏃🏾‍♂wenzako waoaji serious hawaombi hata punguzo huko penda palipo na uwezo wako.kimbia mbio unazoziweza acha kujichosha.hakuna mtu anayeozesha mtoto wake halafu akataka aende kupata tabu huko hivyo basi kabla hujafikiria kuoa tafuta hela kwa juhudi kubwa ili hata ukichukua mke asichakae.usilazimishe kupitia jiko la gesi wakati uwezo wako ni jiko la kuni🏃🏾‍♂🏃🏾‍♂🏃🏾‍♂🏃🏾‍♂maharage hayamalizi gesi acha kulalamika nguvu unazotumia kulalamika zingekusaidia kuendelea kupulizia kwenye jiko lako la kuni huko na maharage yako yakaiva haraka.oa kwenye sehemu utakayoweza kuihudumia acha kujichosha bure utakufa kwa stress maana unataka vitu vizuri halafu kwenye kuvihdumia unaleta ubahili lazima usaidie maana hatuwezi kumuacha mtoto mzuri ateseke kwa ujinga wako🏃🏾‍♂🏃🏾‍♂🏃🏾‍♂🏃🏾‍♂🏃🏾‍♂
Image may contain: 2 people, people sitting and outdoor
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz