Ukimchukulia poa mwenza wako usidhani kwamba atavumilia siku zote. Kuna wakati mwenza wako - EDUSPORTSTZ

Latest

Ukimchukulia poa mwenza wako usidhani kwamba atavumilia siku zote. Kuna wakati mwenza wako

anajiona kabisa hafurahii mahusiano sababu wewe umekua ukimuumiza kila mara na kibaya zaidi usaliti umekua ni sehemu ya maisha yako.
Cha kushangaza na kusikitisha tunawasaliti wale tunaojua wanatupenda tukiwa na dhana potofu ya kwamba hawawezi kutuacha.
Utamuumiza vya kutosha, utamsababishia vidonda vya kila aina moyoni, utamkejeli, kumdharau pamoja na kumshusha thamani yake lakini siku akisema imetosha basi ujue imetosha kweli. Tuache uovu kwa wanaotupenda na tuwe sababu ya furaha yao.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz