Tafiti nyingi zina thibitisha kwamba umbali. (Distance) ni sumu kubwa sana kwenye mahusino. - EDUSPORTSTZ

Latest

Tafiti nyingi zina thibitisha kwamba umbali. (Distance) ni sumu kubwa sana kwenye mahusino.

Tafiti nyingi zina thibitisha kwamba umbali. (Distance) ni sumu kubwa sana kwenye mahusinao ya watu iwe kabla ya ndoa au kwenye ndoa umbali umewagharimu wapenzi wengi. Sana ambao walipendana sana na hawakuwahi kudhani kama wangewai kuachana kirahisi bahati mbaya sana wahanga wakubwa sana wa umbali kwenye mapenzi ni wanaume kuliko wanawake mwenye ufahamu atafahamu
Hata Mungu aliupenda ulimwengu akamtoa mwanawake wa pekee aje kikaa karibu maana alipenda mapenzi ya distance yalimshinda ndio maana Yesu alishuka duniani ili kutimiza upendo wake Mungu ..sasa wewe unajifanya unataka dumisha mapenzi ya distance kazi sana Mungu mwenyewe yalimshinda kaa karibu sana na kile ukipendacho maana utakijua vyema na kukizoelea vizuri huo ndio upendo ila distance love ngumu sana na ina madhara makubwa sana
...pilipili ya shamba Mungu akusaidie sana huu ndio ukweli

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz