TABIA SUGU ZA WANAUME WA TANZANIA - EDUSPORTSTZ

Latest

TABIA SUGU ZA WANAUME WA TANZANIA


1. Ukali
2. Ulevi
3.Kuchelewa kurudi nyumbani
4. Kupenda marafiki kuliko familia
5. Umalaya
6. Kuficha mambo yao ya maendeleo
7. Kupenda hawara zao kuliko mke
8. Ubabe
9. Kusafiri bila kuaga kwa wake zao zaidi ya kuaga kwa mahawara zao
11. Uchoyo
12. Bajeti kali nyumbani kwenye baa mmhh!?
13. Kusaidia watu baki kuliko ndugu zao
14.Kosa dogo ndani ya nyumba kelele nyingi
15. Kunuka miguu
16. Hupenda kutoa ofa sana kwenye baa nk. akiwa na dem (kutaka sifa )
Kweli au sikweli?
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz