SIRI ZA MKE MTAMU - EDUSPORTSTZ

Latest

SIRI ZA MKE MTAMU


Image result for MAISHA YA UPENDO YA MUME & MKE YANAJIONYESHA KWA MAMBO YAFUATAYO
😀HAKIKA YA MKE NI NYUMBA NA NYUMBA NI MKE.... ðŸ‘ŒðŸ»ðŸ˜€

🔴MKE MWEMA👇

❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

❤️ Mwanamke tulia nyumbani kwako jiandae kumsubiri mume wako ufurahie ndoa yako.

❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

❤️ Oga,jisafishe vizuri pulizia/paka manukato na ujipambe kwajili ya Mume wako..

❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤️

❤️ Jipambe upendeze sio upake mirangi mpaka utishe badala ya kupendeza..🙄

❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

❤️ Nguo zakuvutia sio makanga ya mafumbo utamu utaupunguza.😀😀😀😀😀😀😀😀😀

❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

❤️ Kidani shingoni herini skioni bangili mkononi pete ya NDOA Kidoleni na shanga kiunoni.

❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

❤️Kitandani pavutie chumbani panukie 👍

❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

❤️ Kabla hajarudi anza kumchokoza MUMEO kwa message za mapenzi ili asichelewe.

❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

❤️ Ukihisi hodi yake jiandae kumpokea kwa mabusu na jicho la mahaba.

❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

❤️ Muulize hali, mpe pole kwa uchovu bila kuchelewa mpeleke bafuni.

❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

❤️Mahanjumati muandalie chakula umlishe huku kijidekesha kimahaba.😀😀😀😀

❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

❤️Mapenzi kuashiria uko tayari kwa ajili ya kustarehe.

❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

❤️Tendo la ndoa ni starehe kwa Mume na Mke hivyo kueni wabunifu mupate kufurahia TENDO LA NDOA.

❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

❤️ ITUNZE ndoa yako, mume ni zawadi, kutoka kwa MUNGU wetu

❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

❤️👌JIPAMBE KWA AJILI YA MUMEO SIO WAJIPAMBA UKITOKA KWENDA KWENYE MIALIKO YA HARUSI NA SHEREHE ZINGINE, APANA MUSIWE HIVYO, WANAWAKE WENZANGU TUZINGATIE JAMBO ILI WENGI TWALIFANYA```*
🙄 LAKINI BADILIKA SASA‼️🙏😀👇

❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

❤️Ukipeleka Maji bafuni usiondoke msugue kwa mahaba uwenda kuchoka maji ayafiki mgongoni wewe ni kazi yako kuakikisha maji yamemfikia mwili mzima.

❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

❤️ Kudeka kwa MUMEO muhimu usipo deka kwa MUMEO ukadeke kwa nani⁉️

❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

❤️Tusichoke kuzidisha mahaba kwa Waume zetu ili hata wakiwa kazini wawe wanakumbuka nyumbani.

#MBARIKIWEnaWATAKIAmaishsMEMAya
#NDOAkatikaJINAlaYESU

#ASANTEsanaKWAkuSHARE🙏🙏🙏
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz