MWANAUME FAHAMU VIGEZO NA MASHARTI ILI UWEZE KUMMILIKI MWANAMKE. - EDUSPORTSTZ

Latest

MWANAUME FAHAMU VIGEZO NA MASHARTI ILI UWEZE KUMMILIKI MWANAMKE.

Awali ya yote nikiri kwamba;
• MAPENZI YA KWELI HAYANA SHERIA.
Pamoja na ukweli huo lakini hatuwezi kukwepa KUWA NA MAHITAJI BINAFSI HATA KAMA UPENDO UTAKUWA WA KWELI.
Mwanaume kupata UTII WA MWANAMKE ni mpaka uweze KUMMILIKI kwa vigezo vifuatavyo;
• UMZIDI UMRI.
• UWE NA PESA.
• UJITOE KWAKE.
• MPE THAMANI YAKE.
Baada ya hayo hitimisha kwa KUMFANYA MTU MUHIMU MAISHANI MWAKO💯
Hakuna janja Janja tena kwani MOYO WA MWANAMKE UTAKUWA UMEUWEZA na itakuwa rahisi kummiliki Mwanamke, Kinyume cha hapo USIDANGANYIKE NA UYAONAYO KWA MWANAMKE WAKO wallah wewe ni KIPOZEO TU ila aloweza kummiliki yupo SIRINI.
Huna hela halafu Mwanamke anakwambia KIDOGO CHETU TUTACHANGA usanii huo babu.
Hakuna Mwanamke asopenda vitu vizuri iweje uaminishwe PESA SIO TATIZO KWENYE MAPENZI?Niamini;
• UTULIVU WA AKILI NA MOYO WA MWANAMKE NI KUWA NA MAHITAJI YOTE💯
Asikudanganye Mwanamke yeyote eti anahitaji UPENDO WAKO PEKE YAKE 
Lazima uwe na pesa ili uweze kumhudumia ili ajione na kuijua THAMANI yake, Kama Mwanamke anakwambia anakupenda na humhudumii fahamu mambo mawili juu yake;
• YUPO ANAYEMPA PESA.
• ANAKUTUMIA KWA SABABU ZAKE.
Mwanamke hata awe na PESA ZAKE MWENYEWE lazima anahitaji Mtu wa kumnunulia japo BLAZIA👙 sasa wewe danganywa huku wenzio WANAMLA 😋
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz