❤❤MWANAMKE AKIGEUZA KISOGO NA KUKINAI PENZI LAKO, HAWEZI KUREJEA KWAKO!!! KUWA MAKINI NA TABIA ZAKO, USIKARIRI MAMBO!❤❤ - EDUSPORTSTZ

Latest

❤❤MWANAMKE AKIGEUZA KISOGO NA KUKINAI PENZI LAKO, HAWEZI KUREJEA KWAKO!!! KUWA MAKINI NA TABIA ZAKO, USIKARIRI MAMBO!❤❤


Mwanamke akikupenda, lazima atakuvumilia kwa kila jambo, hadi kwa mambo yako yasiyofaa, yanayomkera, yanayomuumiza na kumtesa kihisia..
.....
Kutokana na ufinyu wako wa akili, utaendelea kumtesa na kumfanyia vituko kila kukicha huku ukidhani kuwa hawezi kukuacha, na hata akikuacha lazima atakurudia baada ya siku kadhaa, yani hawezi kuishi bila wewe.
My brother,
Uvumilivu una kikomo chake. Na usiombee mwanamke wako afikie kikomo chake cha kukuvumilia.
.....
Utakuja kujuta, sababu mwanamke akifanikiwa kumove on, huwa harudi tena nyuma.
Akishakutoa moyoni, huwa hawezi kukurudisha tena.
Tabu itabaki kwako ukisota kumrudisha tena kwenye himaya yako.
Kama unampenda, basi acha kumfanyia vituko, acha kumtesa kihisia.
Jifunze kumjali na kumthamini kabla hajaondoka kwenye maisha yako.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz