HIVI UNAJUA HUU NAO NI UTUMWA MWA MAPENZI - EDUSPORTSTZ

Latest

HIVI UNAJUA HUU NAO NI UTUMWA MWA MAPENZI

Image may contain: 1 person, sitting, table, drink and indoor

Ukitaka kuwa MTUMWA ama MHANGA wa MAPENZI Basi wewe jitutumue kwa dhiki zako ukaanzishe UHUSIANO na Mke/Mume wa mtu, Wala huhitaji kubet ni nini kitatokea baada ya kuwa ushaingia penzi hilo bali wewe TARAJIA MAUMIVU TU.
Mara nyingi Mke/Mume wa mtu anapoanzisha uhusiano nje ya NDOA yake maana yake yeye amedhamiria kujifurahisha ama kwa lugha rahisi;
KU-REDUCE STRESS ZA NDOA YAKE.
Wakati huo huo ujue NDOA ipo na Kuna wengine na kule ndani anatumika ki mwili kama kawaida😅😅
Hakuna Mtu mbaya kwenye Swala la radha kama MPISHI ndo maana ukikuta MPISHI ni mwembamba ujue MCHOYO ila nature ya kazi ya UPISHI ni kuonja kwingi na KUNENEPEANA😅😅
Mume au Mke wa Mtu aliyetoka kwenye NDOA yake na kuanzisha MAHUSIANO NJE ni kama MPISHI Yaani kwake hata aonje mara ngapi lakini kila anachopika lazima aonje tu ili kuhakiki radha inayotokana na chakula husika.
Mwana ndoa yeyote akiishaanza USALITI kamwe hawezi kuacha, Kwa sababu moja tu;
ALIISHAJUWA YA NDANI HAIWI TAMU KAMA YA KUIBA HIVYO HUWEZI KUMTENGA NA KUCHEPUKA HATA UKIMBANA VIPI AKIONA MUDA NA NAFASI NI NDOGO HATA KIJAKAZI WAKE AWEZA KUMPATIA.
Mbadala wa kutofurahia ndoa ni KUACHANA wala sio kuonja onja huko mabarabarani maana mwisho kabisa ni kujiweka kwenye HATARI.
Mke wa Mtu ama Mume wa Mtu kamwe hawezi kujenga UHUSIANO WA KUDUMU japo anaweza kudumu yeye kwa sababu zake ila sio kumfanya DOWEZI kufurahia, Mara nyingi wanaachaga vibaya sana na Kuna wengine ni wajinga NDOA ANAITAKA NA MCHEPUKO ANAUTAKA mwisho kabisa NDOA inabaki na nafasi yake kwa sababu tayari ni NDOA sasa huko nje ndipo kinapowaka moto🔥
Kwa sababu ukiwa MWIZI WA MKE/MUME wa Mtu utajengewa kujiona wewe ni zaidi ya MWENYE NDOA YAKE kumbe si lolote wala chochote, Wewe ni MSAGA SUMU TU mwenzio anajua atakalo kwako, Ni bora kukosa UHUSIANO kuliko kutembea na MKE au MUME wa Mtu hao ni NYOKA🐍
Yaani siku akikutemea sumu yake RAFIKI WAFWAAAAA😭😭😭
Ya nini kutaka kero kwa mtu ambaye unajua kabisa MWISHO UPO? Kwa sababu tayari anae wa kwake, Kama unao UGWADU na umempenda basi usiingie kwake kwa MTAZAMO WA UPENDO bali ingia na TAMAA ZAKO nenda kupumue ukimaliza sepa ila ukinogewa USIJENGE MZINGA😅😅
Mume au Mke wa Mtu ni watu waongo na walaghai sana, Hakuna hata mmoja atamsifia mwenza wake ili wewe ujione Uko SPECIAL kumbe mwenzio anatafuta Kivuli na akiisha ona Mvua ama Jua kuzama anatazama NDOA YAKE mtu wa aina hiyo hata iwe na INSTRUMENTAL🎹 fanya kama hujui maana ya mziki ili usije kuumia, Raha ya MAPENZI uwe na Mtu ambaye utakuwa nae HURU pamoja na kujivunia uwepo wake kwako, Penzi lenyewe la siri INAHUSU?
Kuna Mijitu Mingine ni vichwa maji unakuta NDOA imelitesa balaaa, Unalipa TRUE LOVE lakini wala halioni kisa KABILA AMA DINI likakupa STRESS zisizo na Maana, Ukiona ni Mke ama Mume wa Mtu TUMIA AKILI KU-DEAL na Mtu wa aina hiyo, Vinginevyo WEWE NDO UTAKUJA KUJUTIA😭😭
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria ðŸ”¨
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz