Acha kuwa na malengo makubwa kwa mtu ambaye bado hujamjua vizuri. - EDUSPORTSTZ

Latest

Acha kuwa na malengo makubwa kwa mtu ambaye bado hujamjua vizuri.MORNING BREAKFAST

#Ukweli_Mchungu

Mapenzi ni moja ya changamoto katika maisha tunayopitia Mapenzi ni moja ya changamoto katika maisha tunayopitia hapa
duniani..

Pindi pale mtu anapoingia
kwenye mahusiano na mtu anayempenda ila
mategemeo yake yanabadilika na kupelekea kuona mambo tofauti
(wrong expectations) na kupelekea kuingia katika homa ya mapenzi(stress).
Mnaamua kuachana..

Ila kwa vile binadamu tumeumbwa ili mapenzi ya- take over maisha yetu na kupelekea kuwa na ndoto zingine za kujenga family.. unampata mtu mwingine
ambaye unakuja kugundua wamepshana kidogo na yule wa kwanza unapata (second fall) mnaachana
kwa shida na mateso makali ya mapenzi...

Unaamua kuzoea aina
iyo ya maisha!! Unakuwa na huyu
kesho na yule bila kujari tena ndoto zako na hisia zako...

Matokeo yake unakuwa malaya!!

#Samahanini_sana kwa lugha kali lakini naamini mmenielewa na Mungu awape tulizo la kweli la moyo.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz