TAARIFA RASMI YA HALI YA ALEX FERGUSON - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

DOWNLOAD EDUSPORTSTS NEWS APP HAPA

Saturday, 2 June 2018

TAARIFA RASMI YA HALI YA ALEX FERGUSON


Kocha wa zamani wa manchester united sir. Alex ferguson alifanyiwa operation mwezi mmoja uliopita.

Ferguson alifanyiwa upasuaji wa kichwa kutokana na tatizo lililokuwa linamsumbua sana.

Vyanzo vya kuamnika vimeripoti kwamba sir alex ameruhisiwa kutoka hospital ikiwa ni kutokana na hali yake kutengemaa na anaweza kupata matibabu akiwa nyumbani kwake.

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ