MATOKEO YA MECHI ZA JANA MAY 9, NA ,MSIMAMO WA LIGI KUU LALIGA - EDUSPORTSTZ

Latest

MATOKEO YA MECHI ZA JANA MAY 9, NA ,MSIMAMO WA LIGI KUU LALIGA

Barcelona wakishangilia magoli yao baada ya kuifunga villarreal mabao 5-1


Ligi kuu Nchini Hispania (LALIGA) ili endelea kwa michezo miwili iliyo gusa nyoyo za mashabiki wa soka duniani.K

Katika michezo hiyo Barcelona iliminyana na Villarreal CF na kuibuka na ushindi wa 5-1.

Mabao ya Barcelona yamefungwa na Lionel Messi, Philippe Coutinho na Ousmane Dembele aliyeingia kambani mara mbili pamoja na Paulinho. bao la Villarreal lilifungwa na sansone dakika ya 54 ya mchezo.

Mechi nyingine ilikua kati ya Madrid na Sevilla, katika mchezo huu madrid ilipokea kichapo cha 3-2.
Mabao ya Sevilla yamefungwa na Ben Yedder, Layun huku la tatu wakizawadiwa na Srgio Ramos kwa kujifunga.

Upande wa Madrid wafungaji ni Ramos aliyesahihisha makosa yake kwa kufunga bao la penati, huku jingine likifungwa na Borja Mayoral.

MSIMAMO WA LIGI KUU LALIGA

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz