MATOKEO NA MSIMOMO WA SOKA LIGI KUU VODACOM MPAKA KUKAMILIKA KWA RAUNDI YA 27 - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 7 May 2018

MATOKEO NA MSIMOMO WA SOKA LIGI KUU VODACOM MPAKA KUKAMILIKA KWA RAUNDI YA 27


matokeo ya mechi zilizochezwa jumapili ya tarehe 06 may, 2018 ligi kuu vodacom
Baada ya mechi saba za raundi ya 27 kukamilika jan, sasa ni wazi kuwa Simba wanaukaribia ubingwa wa VPL msimu huu kwani hadi sasa inahitaji pointi mbili pekee kujitangazia ubingwa, huku Ndanda SC, Majimaji FC, Njombe Mji na Mbao FC zinapigana kujinusuru kushuka daraja. mpaka kukamilika kwa raundi ya 27 msimamo wa ligi unasomeka kama ifuatavyo;
msimamo wsa ligi kuu mpaka wakati huu


EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ