MAKKA " SITAITUMIA JEZI NAMBA 8 KWA HESHIMA YA MCHEZAJI MPYA" - EDUSPORTSTZ

Latest

MAKKA " SITAITUMIA JEZI NAMBA 8 KWA HESHIMA YA MCHEZAJI MPYA"



kumekuwa na tetesi nyingi sana kuhusu usajili kujiandaa kwa msimu ujao wa ligi kuu tanzania bara.

Timu kubwa hasa simba, yanga, na azam zimekuwa zikihusishwa na wachezaji mbalimbali.

Klabu ya yanga imeonekana tofauti kidogo na misimu mingine katika mbinu za kufanya usajili kimya kimya bila ya tetesi zozote.

Jana kupitia ukurasa wa instagram wa klabu ya yanga ulitoa taarifa kwa kumtumia mchezaji makka edward na kutoa ujumbe ulisomeka ya kwamba hatatumia jezi namba 8 kwa msimu ujao kwa heshima ya mchezaji anaekuja.

Lakini klabu hiyo haikutoa taarifa rasmi ya nani atavaa jezi hiyo mpka pale utambulisho rasmi utakapofanywa.

pia kumekuwa na taarifa ya kwamba yanga wamemrudisha mchezaji wake wa zamani mrisho ngassa akitokea ndanda ambako alikuwa kwa msimu mmoja alipojiunga kutoka mbeya city.

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz