HAYA HAPA MATOKEO YA ARSENAL VS ATLETICO - EDUSPORTSTZ

Latest

HAYA HAPA MATOKEO YA ARSENAL VS ATLETICO
Arsenal imetupwa nje ya michuano ya UEFA Europa Legua kwa kuchapwa bao 1-0 dhidi ya Atletico de Madrid ya Spain.
Bao hilo pekee limefungwa na mshambuliaji, Diego Costa, katika dakika ya 45 zikiwa zimeongezwa mbili kipindi cha kwanza kumalizika.


Costa amefanya idadi ya mabao kwa Atletico kuwa mawili dhidi ya moja baada ya mechi ya mkondo wa kwanza kwenda sare ya 1-1 huko Emirates na kuifanya itinge fainali ya michuano hiyo.


Mbali na Atletico kushinda, Marseille ya Ufaransa nayo imetinga hatua ya fainali licha ya kufungwa usiku huu kwa jumla ya mabao 2-0 dhidi ya Salzburg ya Ujerumani na kufanya matokeo hayo yawe 2-3 katika Aggregate.


Marseila iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 katika mechi ya kwanza iliyopigwa huko Ufaransa.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz