Wafungaji wanao ongoza kwa magoli ni pamoja na; Mo Salah anayeichezea timu ya Liverpool, Harry Kane kutokea Tottenham, Sergio Aguero wa Man city, Raheem Sterling kutoka Manchester city na Jamie Vardy wa Leichester city
![]() |
| orodha ya wanaoongoza kwa magoli ligi kuu England |
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au
kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.


Post a Comment