TETESI ZA SOKA LEO APRIL 5, 2018 - EDUSPORTSTZ

Latest

TETESI ZA SOKA LEO APRIL 5, 2018

Mohamed Salah

Kiungo wa Monaco, Mbrazil Fabinho,24, anataka kuondoka kutoka klabu hio ya Ligue 1 and kwenda katika timu ya Manchester United (Sun)

Real Madrid hawataki tena kumsajili mshambuliaji wa Liverpool na Misri Mohamed Salah, 25 au mshambuliaji wa Tottenham, Harry Kane , 24.
De Gea

Real Madrid wamerudia kuonesha kumtaka mlinda mlango wa Manchester United David de Gea,27. Pia wameanza kumuulizia kiungo wa Ufaransa Paul Pogba, 25, na mshambuliaji wa Ufaransa Anthony Martial, 22. (Manchester Evening News)

Liverpoool nao wanafikiria kumchukua Moses Simon,22, kutoka Gent, wakiwa pamoja na timu ya Newcastle na Brighton ambao pia wanafikiria kumdaka winga huyo kutoka Nigeria.(HLN - in Dutch)

Chelsea wanafikiria kutoa meneja Antonio Conte na kumweka mkuu wa Monaco Leonard Jardim wakati wa mwisho wa msimu (Yahoo)
Jose Mourinho

Manchester United watak kumchukua Faouzi Ghoulam, 27 wa Napoli kwa paundi milioni 26. Mlinzi huyo kutoka Algeria atachukua nafasi ya Luke Shaw, 22, anayetarajiwa kuondoka muda wa majira ya joto (RMC via Daily Mail)

Kiungo wa Manchester United Andreas Pereira, 22, anataka kuwa na mazungumzo na meneja Jose Mourinho kabla ya kuamua hatima yake na Old Trafford. Mchezaji huyo kutoka Brazil amepelekwa kwa mkopo La Liga Valencia (ESPN)

Winga wa Bayern Munich Arjen Robben, 34, anasema alikutana na aliyekuwa meneja wa Manchester United Sir Alex Ferguson mwaka 2004 na angejiunga na klabu hiyo wakati huo, ingewapo angepata mualiko kwa akajipata amesajiliwa na Chelsea badala yake.(FourFourTwo)PN)

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz