YANGA WAKUBARI KUSHIKWA SHARUBU - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 6 March 2018

YANGA WAKUBARI KUSHIKWA SHARUBU


Yanga na Township Rollers wakichuana
Yanga mabingwa wa ligi kuu bara leo wamekukubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Township Rollers.

Kwa matokeo haya Yanga inahitaji ushindi wa kuanzia 2-0 ugenini katika mchezo wa marudiano nchini Botswana.
Matokeo ya mchezo Wa Leo kati ya Yanga na Township Rollers
Nini maoni yako kupelekea mchezo ujao!!!?
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ