RATIBA RASMI YA MCHEZO WA YANGA NA MTIBWA - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 27 March 2018

RATIBA RASMI YA MCHEZO WA YANGA NA MTIBWA


Baada ya kuahirishwa kutokana na maandalizi ya kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, mchezo wa Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga umepangiwa tarehe.

Akizungumza leo na Waandishi wa Habari, Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi ya TFF, Boniface Wambura, amesema mchezo huo utachezwa Mei 9 2018 katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro.

Chanzo: sokakiganjani 

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment