;
MSIMAMO WA LIGI KUU VPL BAADA YA MCHEZO WA YANGA NA KAGERA SUGAR - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 9 March 2018

MSIMAMO WA LIGI KUU VPL BAADA YA MCHEZO WA YANGA NA KAGERA SUGAR


Wachezaji
Leo katika uwanja wa taifa Ibrahim Ajibu amefuta kiu yake ya mabao baada ya kuifungia yanga bao la kwanza kwa mkwaju wa penati na kufuta ukame wake ambao ulidumu kwa zaidi ya dakika 700 na kuifanya yanga kutangulia kifua mbele mpka kufikia kiasi cha mabao 3-0 dhidi ya kagera sugar.

Magoli mengine yamefungwa na Yusuph Mhilu huku goli la tatu likitokana na mchezaji wa Kagera Sugar Juma Shemvuni.
Matokeo ya mchezo kati ya kagera sugar na yanga

Yanga imefikisha pointi 43 baada ya mechi 20 hivyo kurudi katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kwa kuitoa Azam ambayo ina pointi 41 ikiwa imecheza mechi 21. Simba bado inaendelea kuongoza ligi ikiwa na pointi 46 baada ya kucheza mechi 20.

Msimamo Wa ligi kuu


EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB