MCHEZO WA SIMBA NA STAND UNITED UTAAMULIWA NA HAWA HAPA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Thursday, 1 March 2018

MCHEZO WA SIMBA NA STAND UNITED UTAAMULIWA NA HAWA HAPAImage result for SIMBA
Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara mzunguko wa 19 inataraji kuendelea kesho kwa mchezo mmoja utakaowakutanisha Simba ya Dar es Salaam dhidi ya Stand United ya Shinyanga.
Mchezo huo utakaochezwa saa 10 jioni utafanyika kwenye Uwanja wa Taifa uliopo jijini Dar es Salaam.

Mwamuzi wa katikati atakuwa ni Florentina Zabron kutokea Dodoma, Mwamuzi Msaidizi namba moja atakuwa Ferdinand Chacha wa Mwanza.
Vilevile Mwamuzi msaidizi namba mbili ni Mashaka Mandemwa kutoka Mwanza, Mwamuzi wa akiba ni Gelmina Simon wa Dar es Salaam na Kamishna wa mechi anatoka Arusha, Peter Temu.

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ