MATOKEO MECHI 8 EUROPA LEAGUE USIKU WA JANA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 9 March 2018

MATOKEO MECHI 8 EUROPA LEAGUE USIKU WA JANA

Domenico Criscito 

Hatua ya 16 bora ya michuano ya UEFA Europa League ilichezwa usiku wa March 8 2018 kwa michezo nane kuchezwa barani Ulaya, hizi ni game za kwanza ambazo zimechezwa leo baada ya game za marudiano ndio tutajua timu gani zimeingia robo fainali.

Inawezekana ulikuwa mbali na TV na hukupata fursa ya kutazama game zenyewe, naomba nikusogezee matokeo ya game zote nane.
Matokeo ya mechi za jana europa league

Nini maoni yako kuelekea mchezo ujao????

TUACHIE COMMENT YAKO HAPA👇👇👇👇EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ