KOMBE LA DUNIA KUTUMIKA KAMA CHACHU YA AMANI URUSI - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Thursday, 22 March 2018

KOMBE LA DUNIA KUTUMIKA KAMA CHACHU YA AMANI URUSI

Rais wa Urusi Vladimir Putin

Mwanasiasa wa siku nyingi nchini Urusi Boris Johnson amesema anakubaliana na kauli ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kuwa ataitumia michuano ya kombe la Dunia kuifanya Urusi kuwa nchi ya amani kama alivyowahi kuitumia rais wa Ujerumani Aldolf Hitler michuano ya Olimpiki ya mwaka 1936 katika masuala ya amani.

Johnson amesema kuwa kutakuwa na mazungumzo ya haraka dhidi ya Urusi kuhusu usalama wa mashabiki katika mashindano hayo yajayo, msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya urusi amesema wanaurusi wameathitika na chuki iliyodumu kwa muda mrefu.


EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ