TAZAMA TAREHE YA MCHEZO KATI YA SIMBA NA AL MASRY - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 23 February 2018

TAZAMA TAREHE YA MCHEZO KATI YA SIMBA NA AL MASRY


Image result for kikosi cha simba
Shirikisho la Soka Barani Africa (CAF), limefanya mabadiliko ya ratiba katika baadhi ya michezo ikiwemo wa Simba dhidi ya Al Masry SC katika Kombe la Shirikisho.

Awali mechi hiyo ilipangwa kuchezwa tarehe 6 huku Simba wakianzia nyumbani, lakini sasa utafanyika March 9 2018 baada ya tarehe ya mwanzo kuingiliana na mechi ya Yanga.

Ratiba ya awali ilionesha Yanga watakuwa wenyeji wa Township Rollers FC kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, ambayo ilitakiwa kupigwa March 6 2018.

Baada ya mabadiliko hayo, sasa Simba wataanzia nyumbani kama ilivyokuwa mwanzo na mchezo wa marudiano ratiba inaonesha mchezo utapigwa March 16 2018.


EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment