BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 5 February 2018

PAMOJA NA WACHEZAJI WAPYA KUWEPO CHELSEA ATASHINDA UGENINI?Ligi kuu ya England itaendelea tena leo kwa mchezo mmoja kupigwa bingwa mtetezi wa ligi Chelsea atakuwa ugenini katika dimba la Vicarage Road kucheza na wenyeji wao Watford.


Mchezo huu ni wa raundi ya ishirini na sita, Watford, chini ya kocha wake Javier Gracia, huenda wakamkosa kiungo wake Tom Cleverley ambae ni majeruhi na pia watamkosa mchezaji wao mpya Didie Ndong.

Chelsea wanatarajia kuwatumia wachezaji wake wapya mshambuliaji Olivier Giroud na Emerson Palmieri, huku kiungo Willian na David Luiz wakijumuishwa kuwa sehemu ya timu baada ya kutoka kwenye majeraha.

Beki Andreas Christensen hatima yake bado inamashaka kucheza mchezo huo kutoka na kuumia katika mchezo dhidi ya Bournemouth, nae Alvaro Morata anaendelea na matibabu ya maumivu ya mgongo.

NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO


EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment