BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 5 February 2018

MOROCCO YANYAKUA KOMBE LA CHAN BAADA YA KUINYESHEA MVUA YA MABAO NIGERIAKwa kuishushia kipigo cha mabao 4-0 Nigeria huku ikionesha kandanda safi, katika mchezo wa fainali uliomalizika muda huu, Morocco imetwaa rasmi ubingwa wa michuano ya Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani mwaka 2018.

Hii ni mara ya kwanza kwa waandaaji kutwaa ubingwa wa michuano hiyo tangu ianzishwe na pia ni mara ya kwanza kwa timu kupata ushindi mkubwa wa aina hii katika mchezo wa fainali.

#ZBC2 ilikuwa na wewe tangu mwanzo wa mashindano haya kwa kukuletea kandanda mbashara pamoja na uchambuzi.
Nini maoni yako?

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment