MKHITARYAN NA AUBAMEYANG WAFUNGUKA MAZITO JUU YA USHINDI WAO DHIDI YA EVERTON - EDUSPORTSTZ

Latest

MKHITARYAN NA AUBAMEYANG WAFUNGUKA MAZITO JUU YA USHINDI WAO DHIDI YA EVERTON

Image result for aubameyang

Wachezaji wapya wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang na Henrikh Mkhitaryan, wamezungumza juu ya uzoefu wao baada ya kufungua michezo yao ya awali dhidi ya Everton Jumamosi.

Wakati Aubameyang akiwa anaichezea timu hiyo kwa Mara ya kwanza kwa mchezo wake wa awali dhidi ya Everton Jumamosi, Mkhitaryan ilikua anakamilisha mchezo wa pili baada ya kichapo 3-1 kwa arsenal dhidi ya Swansea siku ya Jumatano.

Mchezaji wa kimataifa wa timu ya taifa Gabon aubameyang ilionyesha ushirikiano mzuri na mkubwa kwa nyota wa arsenal Mkhitaryan ambaye pia alitoa assist kwa goli LA Aubameyang.

Alipoulizwa kama kuna zaidi ya kuja, Aubameyang alisema, "Nadhani hivyo.

"Kwa hakika nilifurahi sana, kama unavyosema yakua tulishinda mchezo katika nusu ya kwanza ya mchezo. Kindi cha pili kilikuwa tofauti kidogo lakini sisi sote tunafurahi leo kwa ushindi tulioupata.
Mkhitryan, aliongeza, "Tulicheza sana mpira wa miguu katika nusu ya kwanza. Katika kipindi cha pili ilikuwa vigumu sana japo tulitoka kwa ushidi wa 4-0.

"Tulikuwa sio sawa na nusu ya kwanza lakini ninaweza kusema kuwa nimependezwa jinsi arsenal walivyo cheza katika mchezo huu."
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO


EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz