BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Wednesday, 14 February 2018

MBOWE KUCHUNGUZWA,POLISI WANENA TAZAMA VIDEO

Image result for MBOWE

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Muliro Jumanne Muliro amesema
wanachunguza kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe aliyoitoa kuhusu 'kuuwawa' kwa kiongozi wa Chama hicho huku akitoa shutuma kwa jeshi hilo kuhusika.EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au
kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.


Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno


EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment