MATOKEO YA MECHI ROUND YA 18 NA MSIMAMO WA LIGI KUU VPL - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Thursday, 15 February 2018

MATOKEO YA MECHI ROUND YA 18 NA MSIMAMO WA LIGI KUU VPL


Image result for FOOTBALL

Katika mchezo uliochezwa leo vinara wa ligi kuu soka Tanzania Bara klabu ya Simba imekubali kutoka sare ya mabao 2 – 2 dhidi ya Mwadui FC katika mchezo uliyopigwa huko Kambarage Shinyanga.

Mabao ya Simba SC yakifungwa na John Bocco katika kipindi cha kwanza huku lapili likifungwa na Emmanuel Okwi kwa njia ya mkwaju wa penati wakati Mwadui wakipata mabao yao kupitia kwa David Luhende na Paul Nonga.

Kwa matokeo hayo Simba SC inafikisha jumla ya alama 41 ikiwa inaongoza msimamo wa ligi wakati Mwadui FC wakifanikiwa kufikisha jumla ya pointi 18.

Simba SC mchezo ujao wanatarajia kukutana na Mbao FC jijini Dar es salaam, Simba SC na Yanga SC mpaka sasa wanatofautiana kwa alama tano.
 matokeo ya ligu kuu tanzania bara round ya 18
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

msimamo wa ligiπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ