MATOKEO YA MCHEZO WA LEO NA MSIMAMO WA LIGI KUU VPL - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 16 February 2018

MATOKEO YA MCHEZO WA LEO NA MSIMAMO WA LIGI KUU VPL


Image result for FOOTBALL
 Mpira wa leo umemalizika, Lipuli FC inafanikiwa kugawana pointi na Azam FC kwa kulazimisha suluhu katika dimba la Samora mjini Iringa.MSIMAMO Baada ya mchezo mmoja wa raundi ya 19 uliopigwa leo na kumalizika kwa suluhu kati ya Lipuli na Azam, msimamo wa ligi unaonesha Lipuli kupanda kutoka nafasi ya tisa hadi nafasi ya saba, ikifikisha pointi 20.Elimu Yetu

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mnoEdusportstz↑ Grab this Headline Animator

No comments:

Post a Comment