BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 4 February 2018

MATOKEO NA MSIMAMO WA LIGI KUU VPL BAADA YA MECHI ZA LEO TAREHE 04 FEB, 2018

Image result for vpl tanzania

MATOKEO YA MECHI ZA LEOkatika Dimba la CCM Kirumba wenyeji Mbao FC wamevuna pointi tatu muhimu baada ya kupata ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Kagera Sugar.


Katika Dimba la Kambarage, Shinyanga Stand United wanatoka nyuma na kuibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar.

SimbaSC Tanzania inaondoka na pointi tatu na kujizatiti kileleni baada ya kuifunga Ruvu Shooting goli tatu bila majibu. FT' Ruvu Shooting 0-3.

MSIMAMO: Hadi sasa kila timu imecheza mechi 16, na Simba imeendelea kukaa kileleni na 'gap' la pointi 5 mbele ya Azam FC, huku Yanga na Singida United wakizidi kuwatia 'presha'. Njombe Mji, Majimaji na Kagera Sugar wana pointi sawa mkiani mwa msimamo
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment