KAULI YA KUTANGULIA SIO KUFIKA YATHIBITISHWA NA REAL MADRID - EDUSPORTSTZ

Latest

KAULI YA KUTANGULIA SIO KUFIKA YATHIBITISHWA NA REAL MADRID
Ule msemo wawahenga usemao kutangulia sio kufika umethibitishwa mubashara na timu ya real madrid baada ya kulipa ,goli moja walilokuwa wamefunga wapinzani wao na kushinda kwakishindo kwa ushingi wa magoli 3-1.Fatilia data za mchezo huu kwa muda na wafungaji wa magoli hayo hapa chini lakin pia fuatilia kwa njia ya picha za  matukio yaliyojili uwanjani
Real Madrid: Navas, Nacho, Varane, Ramos, Marcelo, Modric, Casemiro (Vazquez 79'), Kroos, Isco (Asensio 79'), Benzema (Bale 68'), Ronaldo,
Substitutes: Casilla, Hernandez, Hakimi, Asensio, Kovacic
Booked: Nacho, Isco
Goal: Ronaldo 45', 83', Marcelo 86'
PSG: Areola, Alves, Marquinhos, Kimpembe, Berchiche, Verratti, Lo Celso (Draxler 84'), Rabiot, Mbappe, Cavani (Meunier 66'), Neymar
Substitutes: Trapp, Silva, Di Maria, Diarra, Draxler, Pastore
Booked: Neymar, Le Celso, Rabiot, Meunier
Goal: Rabiot 33'

Elimu Yetu
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz