-->

Type something and hit enter

By OnMPIRA UMEKWISHA
DAKIKA TATU ZA NYONGEZA
Dk 90, Yanga wanapeleka shambulizi ndani ya lango la Ndanda, lakini Ngassa anaokoa
Dk 88, kona inachongwa na Mwashiuya lakini mwamuzi anasema ni faulo
Dk 88, Mhilu anaingia vizuri kabisa hapa, mpira wake wa krosi unaondolewa na kuwa kona ya Yanga
DK 86 Martin anakwenda nje na nafasi yake inachukuliwa na Yusuf Mhilu upande wa Yanga
KADI Dk 85 Ahmed Msumi wa Ndanda analambwa kadi ya njano kwa kumuangusha Yondani


Dk 82 Ndanda FC wanafanya shambulizi kali hapa, inaokolewa, shuti jingine linagonga mtambaa wa panya na Yanga wanaokoa
KADI Dk 80, Mwashiuya analambwa kadi ya njano baada ya kuurusha mpira nje kwa jazba
Dk 78, Ngassa anawachambua Yanga na Yondani analazimika kumuweka chini hapa lakini anasalimika kadiSUB Dk 77 Ally Selemani anaingia upande wa Ndanda kuchukua nafasi ya TibaDk 76 John George anatandika mkwaju matata kabisa wa adhabu lakini kidogo unapita juu ya mtambaa wa panya wa lango la Yanga, goal kick
Dk 74, mkwaju safi wa adhabu karibu na lango la Ndanda lakini kuna wachezaji wa Yanga wameishaotea


Dk 73, Kessy anaingia vizuri kabisa upande wa mashariki lakini anawekwa chini na mwamuzi anasema faulo ipikwe kwenda Ndanda
Dk 72, kona inachongwa na Mwashiuya lakini Ndanda wanaondosha hapa
Dk 71, Ndanda wanalazimika kufanya kazi ya ziada, wanaokoa na kuwa konaaaa
Dk 70 mchezaji mmoja wa Ndanda yuko chini, inaonekana amelala mwenye inawezekana ni maumivu ya misuli
Dk 69 Yanga wanachofanya wanapeleka mashambulizi mengi ya juujuu

Dk 68 Makapu anaachia shuti kuuuuuuubwaaaa...goal kick
KADI Dk 65 Raphael Daud analambwa kadi ya njano kwa kumuangusha Ngassa
Dk 62 Majogoro anaingia vizuri akigongeana na Ngassa, anaachia mkwaju mkali hapa, goal kick


Dk 58 Ndanda wanaonekana wametawala sehemu ya kiungo na kupeleka mashambulizi mengi zaidi na Yanga wanapaswa kuwa makini

Dk 55, Ndanda wanasukuma shambulizi jingine lakini safari hii Rostand anakuwa makini ziaidi

DK 50 Raphael Daud yuko chini pale akimlalamikia mwamuzi namna alivyoangushwa. Anatolewa nje kwenda kutibiwa

GOOOOOOOOO Dk 46, Kapama anaukwamisha mpira wavuni akiunganisha pasi safi kabisa ya Ngassa

Dk 45 Mechi inaanza kwa kasi Ndanda wakionekana wanataka bao la mapema ili kuwapa Yanga preshaMAPUMZIKO DAKIKA 2 ZA NYONGEZADk 45, Abdallah naye anaachia mkwaju lakini hakulenga lango

Dk 44, Majogoro naye anaachia mkwaju hapa lakini hakulenga lango

Dk 42, krosi nzuri ndani ya lango la Ndanda, Kisubi anatokea na kudaka vizuri kabisa hapa

SUB Dk 40 Waziri Majogoro anaingia kuchukua nafasi ta Baraka upande wa Ndanda

Dk 40, anakwenda kupiga Tshishimbi, kipa anadaka na kuuficha kabisa

GOOOOOOOOOOOOO Dk 39 KADI 37 John George analambwa kadi ya njano PENAAAAAAAAAAAAAAT Dk 36, Yanga wanapata penalti baada ya beki wa Zabron kuunawa

Dk 34, Yanga wanachofanya ni kuupoza mpira wakisikilizia mabao yao mawili lakini wanashambulia kwa kushtukiza kila wanapopata nafasi

Dk 32, Martib anaingia vizuri lakini anaanguka na kipa anauwahi mpira

GOOOOOOOOO Dk 29 Kessy anachambua kama karanga kabla ya kuandika bao saaaafi la pili

DK 28, pasi ya Buswita, Martin anajaribu lakini ni shuti mtoto

Dk 25 Yanga wanalazimika kumuweka chini Ngassa, lakini mpira faulo naye anapiga nyanya kabisa na Rostand kama maji anadaka

Dk 23 nafasi nzuri nyingine kwa Yanga, kipa anaugusa, Ndanda wanaokoa

Dk 20, kona maridadi ndani ya lango la Ndanda, kipa Kisubi, anatoka na kuupiga ngumi

Dk 20, Ajibu anaachia mkwaju matata kabisa lakini kipa anaokoa kwa umaridadi kabisa. Kona

Dk 19, Ndanda wanapata kona, inachongwa lakini Yondani anaruka na kuokoa

Dk 19, inachongwa faulo vizuri na Ajibu, inaokolewa vizuri

Dk 18, Yanga inapata adhabu nje kidogo ya eneo la Ndanda

DK 15, Ndanda wanafanya shambulizi kali lakini mpira wa shuti la tik taka, unaishia mikononi mwa Rostande

Dk 13, inaonekana kuna makosa mengi sana katika difensi ya Ndanda na wanapaswa kuwa makini
Dk 10 shuti kali katika lango la Yanga, safari hii kipa yuko makini anaokoa, unamtoka anadaka tena

Dk 8, kona nyingi ya Ndanda, lakini Yanga wako makini wanaokoa hapa

Dk 7, Ndanda wanapata kona, inachongwa hapa, Rostand anaokoa na kuwa kona tena

GOOOOOOOO Dk 6, Buswita anafunga kwa ulaiiiini baada ya uzembe wa kipa na mabeki.Dk 4, Ngassa tena anaingia vizuri, anapiga shuti la chinichini, goal kickDk 3, Ngassa anaachia mkwaju mkali, nusura afunge lakini hakuwa makiniDk 1 Ndanda FC ndiyo wanaanza kushambulia kwa kasi
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ
Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Click to comment