DESKTAS YAAMBULIA KICHAPO CHA MBWA MWIZI KWA BAYERN MUNICH - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Wednesday, 21 February 2018

DESKTAS YAAMBULIA KICHAPO CHA MBWA MWIZI KWA BAYERN MUNICH
Bayern Munich imeendeleza ubabe wake ambao imekuwa ikiuonesha katika Bundesliga, kwa kuipa kichapo kikali Besktas ya Uturuki kwa jumla ya mabao 5-0.


Wafungaji wa mabao hayo ni Thomas Muller katika dakika ya 43 na 66, huku Lewandowski akifunga katika dakika za 79 na 88 na la tano litiwa kimiani na Coman, dakika ya 52.


Mchezo huo ulikuwa na faida kwa Bayern baada ya Besktas kucheza wakiwa pungufu uwanjani, baada ya Vida kutolewa nje kwa kadi nyekundu (16').


EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ