CHIRWA HAKAMATIKA; ATUPIA HAT TRICK BILA AIBU - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 6 February 2018

CHIRWA HAKAMATIKA; ATUPIA HAT TRICK BILA AIBU

Mshambuliaji machachali Obrey Chirwa wa Yanga leo hii amewafurahisha wanyanga kwa kutupia mabo matatu katika dakika ya 46, 65 na 87 ya mchezo kati ya Yanga na njombe mji.

Katika mchezo huu yanga wameibuka na ushindi wa mabo 4 kwa bila huku bao jingi likifugwa na Emmanuel martin mnamo dakika ya 69 ya mchezo katika kipindi cha pili.

Mabao matatu ya obey Chirwa yamemfanya kufikishBa mabao 10 katika ligi kuu ya vodacom msimu huu na kumfanya kuongoza kwa mabao baada ya kumpita John Bocco ambaye ana mabao tisa ya kufunga katika Ligi Kuu Bara.
 
 
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ