BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 11 February 2018

BOCCO MCHEZAJI BORA MWEZI JANUARI


Image result for john bocco simba

TFF imemchagua mshambuliaji John Bocco kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu Bara kwa Januari, mwaka huu.Bocco alikuwa akishindana kwa karibu na mshambuliaji mwingine wa Simba, Emmanuel Okwi.


Hata hivyo, Bocco ameibuka bora akiwa mchango wake ni juu zaidi pia mabao zaidi aliyofunga.Pacha ya Okwi na Bocco inaonekana kuwa bora zaidi na kuifanya Simba kuwa hatari zaidi.

Elimu Yetu
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment