TETESI ZA SOKA LA ULAYA LEO TAREHE 30.1.2018 - EDUSPORTSTZ

Latest

TETESI ZA SOKA LA ULAYA LEO TAREHE 30.1.2018


Image captionChelsea itakataa ombi lolote kutoka Manchester City kumnunua nyota wake raia wa Ubelgiji Eden Hazard hata iwapo klabu hiyo ya Pep Guradiola inataka kuvunja rekodi ya £200m. (Telegraph)

Chelsea itakataa ombi lolote kutoka Manchester City kumnunua nyota wake raia wa Ubelgiji Eden Hazard hata iwapo klabu hiyo ya Pep Guardiola inataka kuvunja rekodi ya £200m. (Telegraph)

The Blues inamlenga mshambuliaji wa Tottenham raia wa Uhispania Fernando Llorente, 32, iwapo watashindwa kumsaini mshambuliaji wa Ufaransa na Arsenal 31 Olivier Giroud. (Sun)Image captionEmre Can wa liverpool

Juventus wana matumaini wataweza kumsajili kiungo wa kati wa Liverpool na Ujerumani, 24, Emre Can ambaye kandarasi yake inakamilika mwishoni mwa msimu huu, katika uhamisho huru (Mail)

Mkufunzi wa Everton Sam Allardyce amemwambia kiungo wa kati wa Uholanzi Davy Klaassen kwamba anafaa kwenda katika klabu nyengine kwa mkopo ili kuimarisha mchezo wake katika uwanja wa Goodison Park.Image captionDavy Klassen

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 alijiunga na Everton mwishoni mwa msimu uliopita hajachezeshwa hata mechi moja ya ligi ya Uingereza tangu mwezi Septemba.. (Star)

Kiungo wa kati wa Swansea Roque Mesa amepita ukaguzi wa kimatibabu katika klabu ya Sevilla.Image captionKiungo wa kati wa Swansea Roque Mesa amepita ukaguzi wa kimatibabu katika klabu ya Sevilla.

Mchezaji huyo wa Uhispania anatarajiwa kujiunga na timu hiyo ya La Liga kwa mkopo hadi mwisho wa msimu. (Marca - in Spanish)

Mkufunzi wa Crystal Palace Roy Hodgson anasema kuwa klabu hiyo bado inamsaka kipa wa Getafe na Uhispania Vicente Guaita, 31, na beki wa Lille Ibrahim Amadou , 24 (Sky Sports)Image captionManchester City inakaribia kumsajili winga wa Uingereza wa kikosi cha wachezaji wasiozidi umri wa miaka 21 Jack Harrison kutoka klabu ya New York City kwa dau la £4m.

Manchester City inakaribia kumsajili winga wa Uingereza wa kikosi cha wachezaji wasiozidi umri wa miaka 21 Jack Harrison kutoka klabu ya New York City kwa dau la £4m.

Baadaye ataelekea katika klabu ya Middlesbrough kwa mkopo. (Mail)Image captionKiungo wa kati wa Brazil Philippe Coutinho, 25, amerudi katika klabu yake ya zamani kutoa kwaheri kwa wachezaji wenzake (Mail)

Kiungo wa kati wa Brazil Philippe Coutinho, 25, amerudi katika klabu yake ya zamani kutoa kwaheri kwa wachezaji wenzake (Mail)

Mkufunzi wa Burnley Sean Dyche amewasilisha ombi la kutaka kumsajili beki wa Nottingham Forest Joe Worrall, 21, kwa thamani ya £10m. (Sun)Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionKiungo wa kati wa zamani wa klabu ya Manchester United David Beckham ameshangazwa na hatua ya Arsenal kumuuza Alexis Sanchez, 29,

Kiungo wa kati wa zamani wa klabu ya Manchester United David Beckham ameshangazwa na hatua ya Arsenal kumuuza Alexis Sanchez, 29, na kusema kuwa ataleta ufanisi mkubwa katika klabu hiyo.. (Mirror)
Beckham pia inaamini kwamba Jose Mourinho ndio mtu anayefaa kuongoza Manchester United mbele. (Star)
NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz