SOMA UONE MAREKEBISHO YALIYOFANYWA NA MTANDAO WA WHATSAPP - EDUSPORTSTZ

Latest

SOMA UONE MAREKEBISHO YALIYOFANYWA NA MTANDAO WA WHATSAPP


NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.

WhatsApp Waruhusu Video za Youtube Kucheza Kwenye Programu Yao
Baada ya muda mrefu WhatsApp kutangaza kuwa itafanya maboresho makubwa matano kwa mwaka huu tayari, Program hiyo imeanza maboresho hayo kwa kuanza kuruhusu video za YouTube kucheza moja kwa moja kwenye Programu wezeshi yao.

Program hiyo ilianza kuruhusu kwanza kwa watumiaji wa iOS mwanzoni mwa mwezi Januari mwaka huu lakini kwa sasa imeruhusu kwa watumiaji wa Android ambapo mtumiaji kama bado hujaona maboresho hayo itakubidi u-update kifaa chako ili uweze kupata huduma hii mpya.Awali WhatsApp ilikuwa inaruhusu link tu kwenye programu hiyo ambapo mtumiaji alikuwa analazimika kubofya Link na kupelekwa moja kwa moja kwenye App ya YouTube.


NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO


EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz