SANCHEZI AKUBALI KUWATUMIKIA MAN UNITED
NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.
Alexis Sanchez amekubali kujiunga na Manchester United, hii sasa ni rasmi.


Kikubwa kinachosubiriwa ni uamuzi wa kiungo Henrikh Mkhitaryan ambaye Arsenal inamtaka kama sehemu ya mauzo ya Sanchez.


Mkhitaryan alionekana kuwa anasita kujiunga na Arsenal lakini yuko katika hatua za mwisho kwa kuwa Kocha Jose Mourinho ameonekana kumruhusu aondoke.Katika makubaliano, Sanchez amekubali kuwa Shetani Mwekundu kwa dili la miaka minne na nusu likiwa na thamani ya pauni milioni 14 kwa kila msimu.


EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

Artikel Terkait