MAPYA YAIBUKA BAINA YA DIAMOND PLATINUMZ NA RICK ROSS - EDUSPORTSTZ

Latest

MAPYA YAIBUKA BAINA YA DIAMOND PLATINUMZ NA RICK ROSSKutoka Maybach Music, Rapa maarufu wa Marekani 'Rick Ross' amefuta picha zote za Diamond Platnumz alizowahi kupost katika ukurasa wake Instagram .
Rapper huyo ambaye pia ameshirikishwa katika wimbo wa Platnumz 'waka' aliwahi kumpost Staa huyo wa Bongo katika ukurasa wake wa Instagram mara kadhaa akiwa amebeba chupa za kinywaji cha Belaire ikiwa ni ishara ya kukinadi kinywaji hicho. .
.
@Diamondplatnumz ni balozi wa kinywaji cha Belaire na yeye alikuwa Staa wa pili kutoka Afrika kupostiwa na @Richforever baada ya mwanadada kutoka nchini Kenya Huddah Monroe pia kupata bahati hiyo ya kupostiwa na Staa huyu wa Hollywood na mpaka muda huu picha @Huddahthebosschick haijafutwaNDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz