KESI YA UBAKAJI YA MPELEKA JELA NGURI WA SOKA ROBINHO - EDUSPORTSTZ

Latest

KESI YA UBAKAJI YA MPELEKA JELA NGURI WA SOKA ROBINHONDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.
Elimu Yetu
Mchezaji soka wa Brazil Robinho amehukumiwa kifungo cha miaka tisa jela kwa kushiriki katika genge lililombaka mwanamke mmoja mjini Milan mwaka 2013.Mahakma ya Italia imesema kuwa Robinho mwenye umri wa miaka 33- na raia wengine wa Brazil walimbaka mwanamke raia wa Albania , aliekuwa na umri wa miaka 22, baada ya kumnywesha pombe kwenye kilabu cha usiku mjini Milan.

Mchezaji huyo wa safu ya ushambuliaji, aliyeondoka katika klabu ya AC Milan mnamo mwaka 2015 baada ya kuichezea miaka mitano hakuwepo mahakamani wakati wa hukumu hiyo lakini alikana mashataka dhidi yake kupitia wakili wake.

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO


EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz