BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 30 January 2018

HI NDO KIU YA KOCHA MFARANSA WA SIMBA

Image result for Pierre Lechantre

Pamoja na Simba kuitwanga Majimaji kwa mabao 4-0, Kocha Pierre Lechantre amesema anataka mabao zaidi.

Raia huyo wa Ufaransa anaamini timu yake ina uwezo wa kufunga mabao zaidi ya hayo waliyofikia.


“Kocha amesema mabao manne ni jambo zuri lakini sasa anataka mabao zaidi,” kilieleza chanzo.


“Uzuri wake ni muelewa na anasikiliza, Kocha Masoud pia yuko hivyo kwa hiyo tunaamini tunaweza kufanya vizuri zaidi.”


Simba imefanikiwa kufunga mabao 12 katika mechi nne, hali inayoifanya kuwa ndiyo hatari zaidi katika kipindi hiki.Kocha huyo alikuwa akiiongoza Simba katika mechi yake ya kwanza na kufanikiwa na kuibuka na ushindi huo.NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

No comments:

Post a Comment