;
YANGA TAYARI KUIVAA TIMU TOKA SHELISHELI - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Wednesday, 13 December 2017

YANGA TAYARI KUIVAA TIMU TOKA SHELISHELI


 YANGAUnaweza kusema ratiba ya mwanzo ya Ligi ya Mabingwa Afrika si ngumu kwa Yanga.

Shirikisho la Soka Afrika (Caf), limeipangia Yanga kuanza na St Louis ya Shelisheli, timu ambayo hauwezi kusema ni mlima mrefu kwa kwa Yanga.


Ingawa Yanga watapaswa kuwa makini kwa kuwa ni soka na soka la Shelisheli limekuwa likipanda, lakini haiwezi kuwa kazi itakayowashinda wakiamua “lazima” wasonge mbele.

Iwapo Yanga itasonga mbele katika hatua hiyo baada ya kufanya vizuri katika mechi mbili dhidi ya St Loius, inatarajia kukutana na mshindi kati ya El Merreikh ya Sudan au Township Rollers ya Botswana.

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB