;
WACHEZAJI, VIONGOZI WAFIKA NYUMBANI KWA MO IBRAHIM KUMFARIJI - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Thursday, 14 December 2017

WACHEZAJI, VIONGOZI WAFIKA NYUMBANI KWA MO IBRAHIM KUMFARIJI
Uongozi wa Simba umeongozwa na Mkurugenzi wake wa Mawasiliano, Haji Manara kufika nyumbani kwa kiungo wake, Mohamed Ibrahim ambaye alifiwa na mwanaye.

Manara aliongozana na wachezaji wa Simba kwa ajili ya kumliwaza mchezaji huyo ambaye alionekana mnyonge.

Kocha Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma naye aliwaongoza wachezaji hao katika msafara huo.

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB