HUYU NDIO MCHEZAJI BORA WA NOVEMBA KIKOSI CHA SIMBA - EDUSPORTSTZ

Latest

HUYU NDIO MCHEZAJI BORA WA NOVEMBA KIKOSI CHA SIMBA




Image may contain: 1 person, sitting


Simba imemtangaza kipa wake Aishi Manula kuwa mchezaji bora wa Novemba wa kikosi hicho.


Manula anachukua nafasi hiyo ya mchezaji bora ambayo hutolewa kila mwezi na uongozi wa Simba.



Uongozi wa Simba umeamua kupitisha mfumo huo ili kuendelea kuwapa motisha wachezaji wake katika kikosi chake ili kuhakikisha wanafanya vizuri zaidi.EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz