TETESI ZA SOKA LA ULAYA 06.11.2017 - EDUSPORTSTZ

Latest

TETESI ZA SOKA LA ULAYA 06.11.2017


David Silva

Liverpool wana mpango wa kumwinda mchezaji wa kiungo cha kati wa Uhispania na Manchesert City David Silva, 31. (Sun)


Meneja wa Chelsea Antonio Conte ambaye awali alikuwa anaiongoza Juventus, ametupilia mbali ripoti zinazomhusisha na AC Milan. (Daily Express)David Luiz

Mlinzi wa Chelsea na Brazil David Luiz aliachwa nje ya kikosi kilichoishinda Manchester United bao 1-0 baada ya mchezaji huyo kutilia shaka mbinu za maandalizi za Conte kabla ya mechi. (Times - subscription required)

Meneja wa Watford Marco Silva amekataa kujibu maswali kuhusu kazi huko Everton baada ya kblabu yake kushindwa 3-2 na Everton. (Liverpool Echo)

Arsenal na Manchesetr City wanatarajiwa kumwida mchezaji wa safu ya kati wa Ajax, Frenkie de Jong, 20, mwezi Januari. (Sun)Riyad Mahrez

Roma wanasema kuwa wao na Barcenoa walikuwa na nia ya kumsaini wing'a wa Leicester Riyad Mahrez, 26, lakini hakuna mwenye alikuwa tayari kulipa pauni milioni 50 iliyokuwa ikiombwa na mchezaji huyo. (Daily Mirror)

Meneja wa West Brom Tony Pulis hana hofu kuwa mechi kumi bila ushindi na kushindwa mara tatu mfululizo kutasababisha bodi klabu hiyo kumfuta. (Birmingham Mail)

Aston Villa hawana mpango wa kuwauza Scott Hogan, 25, Henri Lansbury, 27, Jack Grealish, 22, au James Bree, 19 ambao wote wamehusishwa na kuondoka huko Villa Park.

 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>



CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI















https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=4707069274134584176#editor/target=post;postID=7462144863041616325;onPublishedMenu=allposts;onClosedMenu=allposts;postNum=4;src=link


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz