YAYA TOURE:TUKIENDEKEZA UBAGUZI WA RANGI KOMBE LA DUNIA HALITAFANIKIWA - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 13 October 2017

YAYA TOURE:TUKIENDEKEZA UBAGUZI WA RANGI KOMBE LA DUNIA HALITAFANIKIWA


Yaya Toure asema kombe la dunia la Urusi 2018 litafeli pakubwa iwapo litatawaliwa na ubaguzi wa rangi
Kiungo wa kati wa Manchester City Yaya Toure anasema kuwa kombe la dunia la mwaka ujao litakuwa na ''litafeli pakubwa iwapo litatawaliwa na ubaguzi wa rangi'' .

Toure mwenye umri wa miaka 34 alikabiliwa na matamshi ya ubaguzi wa rangi wakati City ilipocheza dhidi ya CSKA Moscow katika kombe la vilabu bingwa nchini Urusi 2013.

Anataka kuisaidia Fifa na serikali ya Urusi kukabiliana na tatizo hilo kabla ya michuano hiyo kuanza rasmi.Lazima tuone mabadiliko kwa sababu hawalizungumzii swala hili na kuewa utatuzi, aliongezea.
Mwezi uliopita, Liverpool ililalamika kwa Uefa kuhusu madai ya matamshi ya ubaguzi wa rangi yaliomlenga winga Bobby Adekanye wakati wa mechi ya kombe la Uefa upande wa vijana katika uwanja wa Spartak Moscow.

like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment