YAFAHAMU MAJENGO 10 MAREFU ZAIDI BARANI AFRIKA - EDUSPORTSTZ

Latest

YAFAHAMU MAJENGO 10 MAREFU ZAIDI BARANI AFRIKA

Mara nyingi wabunifu mbalimbali wamajengo wamekuwa wakileta style mbalimbali za majengo yanayoendana geografia ya sehemu husika,gharama na ukuaji wa teknolojia dunian.Leo Edusportstz inakuletea list ya majengo kumi marefu zaidi Africa.

10. 88 on Field, Durban
Ni jengo la kumi kwa Urefu Africa, Liko katika mji wa Durban Afrika Kusini, lina Urefu wa mita 147 kama urefu wa kiwanja cha Mpira na Nusu hivi. Jengio hili lipo nafasi ya 10 kwa Afrika
9. Metlife Center.
Hili Ni jengo lililopo Cape Town lenye Urefu wa meter 150, Liko karibu kabisa na Cape Town International Convention Center. Jengo hili linashika nafasi ya Tisa kwa Urefu Afrika.8. South African Reserve Bank Building
Lilifunguliwa mwaka 1988, liko katika jiji la Pretoria lina Floors 38, Urefu wake ni mita 150 sawa na Futi 490
7.Pearl DawnJengo lililofunguliwa mwaka 2010 ,limejengwa kisasa liko KATIKA jiji la Durban South Afrika likiwa na Floors 31 na urefu wa Mita 152 sawa na 499 Ft


6. Marble Towers.
Jengo hili lilijengwa mwaka 1973 linapatikana Johannesburg likiwa na Urefu wa Mita 152 (499ft)5. PSPF Commercial Towers
Ingekuwa ni mashindano basi jengo hili lingeshatutoa Kimasomaso maana toka nafasi ya 10 yalikuwa majengo ya Afrika Kusini tu, Hili ni jengo lililopo Dar Es Salaam Tanzania lenye floors 35 na urefu wa mita 152.7 (501 ft) lilianza kujengwa 2011 na kukamilika mwaka 2014.

4.NECOM house
Jengo hili liko katika jiji la Lagos Nigeria LILIKAMILIKA MWAKA 1979 , na lina urefu wa Mita 160 m sawa kabisa na (520 ft) na ndiyo jengo refu zaidi Nigeria.3. UAP Tower

City: Nairobi
Country: Kenya
Height: 163m (535 ft)
Floors: 33
Built: 2015
uap tower kenya

2. Ponte City Apartments

City: Johannesburg
Country: South Africa
Height: 173m (568 ft)
Floors: 54
Built: 1975
ponte city apartments south africa

1. Carlton Centre

City: Johannesburg
Country: South Africa
Height: 223m (732 ft)
Floors: 50
Built: 1973
/images/details/776795/lookingup-from-the-south-west|Buy


 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz